DAR-ES-SALAAM.
MAASKOFU WA MADHEHEBU MBALIMBALI ZA
KIKRISTO NCHINI WAMEPONGEZA UAMUZI WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA DR JAKAYA MRISHO KIKWETE WA KUWAWAJIBISHA WATENDAJI WAKE.
WAKIZUNGUMZA KWA MNASABA WA SIKUKUU YA
KRISMASI MAASKOFU HAO, WAMETAKA
KUTOISHIA KUCHUKUA HATUA KWA WALIOTAJWA KUHUSIKA NA SAKATA LA AKAUNTI YA
TEGETA ESCROW PEKEE, BALI KUWACHUKULIA
HATUA WAZEMBE NA WOTE WANAOKUTWA NA
TUHUMA MBALIMBALI KATIKA UTAWALA WAKE.
NAYE ASKOFU MICHAEL HAFIDH WA
ZANZIBAR AMEMSHAURI RAIS KIKWETE KUENDELEZA UTARATIBU WA KUWAWAJIBISHA
VIONGOZI WAZEMBE NA WASIO WAADILIFU KATIKA
KAZI ZAO.
No comments:
Post a Comment