KIONGOZI HUYO WA TAIFA MWENYE UMRI WA MIAKA
64 AMETOA HOTUBA KWA TAIFA KUELEZEA AFYA YAKE.
HATA HIVYO AMESEMA ALIGUNDULIKA KUWA NA
HATUA YA PILI YA SARATANI YA KIBOFU, AMBAYO BAADAYE IKAONEKANA KUWA NI HATUA YA
KWANZA.
VILE VILE AMEONGEZA KUWA SASA HALI YAKE IKO
VIZURI NA MADAKTARI WALISEMA SARATANI HAIKUENEA KATIKA SEHEMU NYINGINE ZA MWILI
NA BAADA YA UPASUAJI SASA WAMESEMA AMEPONA SARATANI.
RAISI KIKWETE ALIGUNDULIKA KUWA NA SARATANI
YA KIBOFU ZAID YA MWAKA MMOJA ULIOPITA NA ALIFANYIWA UPASUAJI KATIKA HOSPITALI MOJA
NCHINI MAREKANI MWEZI NOVEMBA.
KIKWETE AMBAYE ANAMALIZA MUHULA WAKE WA
PILI MWAKANI AMESEMA WANANCHI WAJENGE TABIA YA KUPIMA AFYA ZAO ILI WAGUNDUE
MARADHI MAPEMA.
No comments:
Post a Comment