tangazo

tangazo

Monday, December 30, 2013

MADHARA YA SIMU


MADHARA YATOKANAYO NA SIMU

JE WAJUA KUWA SIMU INA MADHARA KWA BINADAMU? SOMA HAPA KUONA JINSI YA KUPUNGUZA MADHARA HAYO
******************

TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU ZA MKONONI:

SIMU ZINATUMIA MIONZI YA MICROWAVE AMBAYO HUWEZESHA KUUNGANISHA SIMU YAKO KWENDA KWENYE MNARA NA MNARA HUUNGANISHA SIMU YAKO NA MITAMBO YA MTANDAO WAKO AMBAPO PIA HURUDISHWA KWENYE MNARA HADI KWA MTU UNAYE MPIGIA. MICROWAVE NDIO NJIA KUU YA MUUNGANISHO HUO.

LAKINI KUNAMDHARA MENGI MTU HUYAPATA KUTOKANA NA KUWA KARIBU NA MIONZI HIYO AMBAYO HADI SASA BADO HAIJAFAHAMIKA NI KWA KIASI GANI. UCHUNGUZI UMEONYESHA KUWA KUNA MADHARA MENGI YA KIAFYA TUNAYAPATA KUTOKANA NA MATUMIZI YA SIMU. MFANO WA MAGONJWA HAYO NI
1. KUUMWA KICHWA MARA KWA MARA
2. PRESSURE YA KUPANDA NA KUSHUKA
3. UVIMBE KWENYE UBONGO
4. KANSA
5. ALZHEIMER
6. NA MENGINE MENGI

HATUWEZI KUJIZUIA KUTUMIA SIMU NA HATUWEZI KUZUIA HIYO MIONZI YA MICROWAVE SABABU NI SEHEMU YA SHUGHURI ZETU ZA KILA SIKU ILA TUNAWEZA KUPUNGUZA. HAPA NAWALETEA NJIA CHACHE ZA KUPUNGUZA MIONZI YA MICROWAVE ISITULETEE MATATIZO MAKUBWA ZAIDI.
1. PUNGUZA MATUMIZI YASIO LAZIMA YA SIMU.MFANO ONGEA MDA MFUPI KWA KUTUMIA SIMU SIO MUDA MREFU UWEUNAONGEA, UCHUNGUZI UMEONYESHA KUWA UKIONGEA KWA DAKIKA MBILI HAILETI MADHARA, (ALTER NATURAL ELECTRICITY OF THE BRAIN)


2. WATOTO WASIRUHUSIWE KUTUMIA SIMU BALI PALE TU INAPOBIDI.
3. USITUMIE EARPHONE ZA WIRE, TUMIA ZA WIRELESS MFANO ZA BLUETOOTH. ZA WIRE ZINAONGEZA WINGI WA MIONZI SABABU PIA ZINATUMIKA KAMA ANTENA YA SIMU,


4. USIWEKE SIMU KWENYE MFUKO WA SURUARI AU SHATI AU KIUNONI,SEHEMU ZA MWILI ZINAPITISHA MIONZI VIZURI ZAIDI SABABU PIA NI NJIA YA NEVA ZA UBONGO NA CHINI YA MWILI.


5.USITUMIE SIMU KWENYE CHUMBA KIDOGO AU LIFT AU GARI. SABABU SIMU ITATUMIA NGUVU NYINGI KUVUTA MIONZI ILI KUWEZESHA
MAWASILIANO.


6. UKIPIGA SIMU SUBIRI HADI MTU APOKEE NDIPO UWEKE SIKIONI KUSIKILIZA NA SIO WAKATI INA CONNECT.


7. USIPIGE SIMU KAMA NETWORK IPO CHINI AU SIGNAL INAONYESHA BAR MOJA AU NDOGO, SIMU ITAVUTA MIONZI ZAIDI ILI KUFANYA MAWASILIANO
8. UKINUNUA SIMU HAKIKISHA UNASOMA KAMA INA LOW SAR (SPECIFIC ABSORBTION RATE) NI KIPIMO CHA KUPOKEA MIONZI YA SIMU.ZA NOKIA ZINAZO ILA ZA KICHINA HAZINA.


9. TUMIA VIFAA VYA KUPUNGUZA MIONZI VINAPATIKANA MADUKANI (VINAWAKAWAKA TAA HIVI)


10.WEKA SIMU ATLEAST 3.4 INCHES KUTOKA KWENYE SIKIO


11. JITAHIDI KUTUMIA HEADPHONES MUDA WOTE UNAPOTUMIA SIMU


12. TUMIA SPEAKER PHONE."LOUDSPEAKER "


13. TEXT ZAIDI KULIKO KUPIGA SIMU .


14. JITAHIDI USITUMIE MUDA MWINGI KWENYE SIMU KAMA UMEIWEKA KWENYE SIKIO


15. JITAHID KUIWEKA MBALI NA REPRODUCTION ORGANS ZAKO HASA KWA WANAUME AMBAO HATUJAPATA WATOTO.


16. LA MWISHO KULA VIZURI ILIKUONGEZA KINGA YA MWILI

No comments:

Post a Comment