tangazo

tangazo

Monday, December 30, 2013

SIASA KALI MAANA YAKE NINI?

SIASA KALI MAAN
SIASA KALI MAANA YAKE NINI?
KWA MUJIBU WA WANAFILOSOFIA HUSEMA KWAMBA NENO SIASA KALI “EXTREMIST” KWA KIFUPI HUMAANISHA KUWA NI MTU ANAYEAMINI KITU FULANI KUPITA KIASI.
YAWEZEKANA IKAWA NI ITIKADI, DINI, AMA MFUMO WA MAISHA.
 
MTU MWENYE SIASA KALI HUISHI MAISHA YAKE AKIITANGAZA FIKRA HIYO ANAYOIAMINI NA YUPO HUWA YUPO TAYARI KWA LOLOTE LILE LITAKALOMKUTA KATIKA HARAKATI ZA KUISAMBAZA FIKRA AMA ITIKADI HIYO.

MAFUNGU YA SIASA KALI HAYANA KIPIMO MAALUMU CHA MGAWANYIKO WAKE ILA KWA KAWAIDA KATIKA MUKTADHA WA MFUMO WA KIBEPARI KUNA SIASA KALI WA KIDINI ZA KIILMANIYA( ZINAZOTOFAUTISHA KATI YA DINI NA SIASA), SIASA KALI WANAOTETEA UTAIFA( NATIONALISTS) NA KUNDI LA TATU LILIOZUKA BAADA YA KUANGUSHWA KWA MFUMO WA KIKOMUNISTI ULIMWENGUNI NI KUNDI LA WAISLAMU WA SIASA KALI.
 
MAKUNDI HAYO 2 YA MWANZO HUWA KWA KAWAIDA HAYAZUNGUMZIWI SANA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA HATA YAKIZUNGUMZIWA HUWA HAYAPEWI MUDA MWINGI NA MDA MWINGINE HUTAFUTWA HATA MANENO MEPESI ILI KUYAPAKA MAFUTA MAZURI.
 
SWALI LA KUJIULIZA KATIK MAKUNDI YA MWANZO HUPAKWA MAFUTA ILA MAKUNDI YANAYOTIWA MAKUNDI YA KIISLAMU SIASA KALI HUWA YANAPAKWA MATOPE NA VYOMBO VY HABARI.
JIBU LAKE NI RAHISI NI KWAMBA MAKUNDIN HAYO MAWILI YA MWANZO HAYANA SIFA YA KUWEZA KULETA MAGEUZI YA KIMFUMO ILA MAKUNDI YA KIISLAMU SIASA KALI YANAYO KWA KUWA ITIKADI WALIYOIBEBA YA UISLAMU NI NIDHAMU KAMILI AMBAYO INA MGONGANO WA KIFIKRA NA MFUMO WA KIBEPARI.
VYOMBO VYA HABARI HUTUMIKA KAMA MBINU KUU YA MAPAMBANO KATI YA MFUMO WA KIBEPARI NA UISLAMU. PROPAGANDA NZITO HUTUMIKA DHIDI YA MAKUNDI YANAYOPAMBANA KULETA MABADILIKO KATIKA UMMAH.
HATA HIVYO VYOMBO VYA HABARI VINAVYOITWA VYA KIISLAMU NAVYO HUBEBA MTAZAMO WA KISEKULA NA VIMEKUWA NI MSUMARI KWA UMMAH WA WAISLAMU KWA KUWA WAISLAMU WAMEKUA WANAVITEGEMEA KUWAKOMBOA TOKA KWENYE GIZA NA KUWAPELEKA KWENYE NURU LAKINI KINYUME CHAKE NDIO VINAWATOA KWENYE NURU NA KUWARUDISHA KWENYE GIZA KWANI NAVYO VIMEKUWA IMA VINAZISHAMBULIA HARAKATI AMBAZO ZENYE LENGO LA KUUSIMAMISHA UISLAMU KWA KUZIITA “MAGAIDI”
UISLAMU NI MFUMO KAMILI NA UNA SIASA YAKE.
 
SIASA YA UISLAMU NA SIO KAMA SIASA YA KIDEMOKRASIA AMBAYO NI SIASA FISIDIFU NA AMBAYO HUTUMIA NJIA ZA ULAGHAI ILI KUFIKIA LENGO AMBALO MSUKUMO WAKE HUWA NI MASLAHI.
 
TUKICHUKULIA MTAZAMO WA KUWA SIASA KALI NI MTU AMBAYE ANAIAMINI FIKRA AMA ITIKADI FULANI KIDHANI NA YUPO TAYARI KUISAMBAZA BILA YA KUANGALIA MADHARA YANAYOWEZ KUMKUTA, BASI MUISLAMU SIASA KALI NI MUISLAMU SAFI AMBAYE MWENYE LENGO SAHIHI LA KUSIMAMISHA UISLAMU KAMA MFUMO WA KUWATAWALA ULIMWENGU NA HAYUPO TAYARI KUCHANGANYA HAKI NA BATILI.
 
WAISLAMU WENGI HUSHINDWA KUELEWA KIPIMO CHA UISLAMU POA KIMEASISIWA NA MAKAFIRI WAMAGHARIBI KUPITIA VYUO WALIVYOANZISHA KATIKA MIJI YA WAISLAMU.
 
LENGO LA KULETA KIPIMO HICO NI KUZIDI KUWATOA WAISLAMU KWENYE AQEEDAH YA KIISLAMU NA KUWAFANYA KUWA NI MASEKULA NA WANADEMOKRASIA.
 
HUTUMIA NA BAADHI YA WANAZUONI AMBAO WANAOSAMBAZA FIKRA YA KIDEMOKRASIA KUWA NI WAISLAMU MFANO WA KUIGWA NA WAISLAMU AMBAO WENYE KUTAKA UISLAMU UTAWALE KUWA NI WAISLAMU SIASA KALI.

KUTANGAZA BAADHI YA MAKUNDI YA KIISLAMU KAMA NI YA SIASA KALI NI MBINU YA WAMAGHARIBI KATIKA KUWAGAWA WAISLAMU ILI WAWEZE KUWATAWALA NA KUSIWE NA ANA YOYOTE YA UPINZANI DHIDI YA UKOLONI WAO KATIKA ARDHI ZA WAISLAMU.
 
PINDI WANAPOFANYA HIVYO HUUGAWA UMMAH WA KIISLAMU NA KUTOKANA NA BAADHI YAO KUTOJUA LENGO NYUMA YA WAMAGHARIBI HUJIKUTA WANAELEMEA UPANDE WA WALE WANAOITWA WAISLAMU POA AMBAO KIASILI NI WAISLAMU AMBAO WANAKUBALIANA NA DEMOKRASIA NA HAWANA TABU NAYO.

NJIA ILIYOPO KUKABILIANA NA TATIZO HILI SI KUKATA TAMA AMA KUINGIA KWENYE SIASA ZA KIDEMOKRASIA ILI KUPATA UNAFUU KWANI TUMEONA HAKUNA UNAFUU NDANI YA SIASA HIZI NA MFANO MZURI NI NDUGU ZETU MUSLIM BROTHERHOOD WA MISRI WALIOINGIA KWENYE SIASA ZA KIDEMOKRASIA KWANI HAWAJAPATA UNAFUU NA NDIO WANAZIDI KUULIWA BILA YA HATIA YOYOTE.
SULUHISHO PEKEE NI KUJIUNGA AMA KUASISI VYAMA VYA KISIASA AMBAVYO VITATABANNI NJIA YA KISHERIA AMBAYO ALIYOPIYA MTUME MUHAMMAD(SAW) NA KUULINGANIA UISLAMU KAMA MFUMO WA KISIASA NA HUKU WAKIUKOSOA UBEPARI BILA YA KUANGALIA MASLAHI AMA MADHARA AMBAYO YATAWAKUTA.
A YAKE NINI?

No comments:

Post a Comment