zanzibar
Rais
mstaafu wa wa jamhuri ya muungano wa tanzania mzee Ali Hassan Mwinyi amesema
serikali ya mapinduzi imepiga hatua kubwa kwa kuwapatia wananchi katikananja
tofauti .
Akizungumza
katikauzinduzi wa jengo la wazee sebleni amesema katika kipindi cha miaka 50
serikali imeboresha huduma bora kwa wananchi zikiwemo elimu ,afya namakaazi
bora kwa wazee .
Amefahamisha
kuwa nia ya mapinduzi ya mwaka 1964 ni kuondoa aina zote za dhulma waliyokuwa
wakifanyiwa wazanzibar na kuepo kwa uhru wa taifa Nae katibu mkuu
aneshughulikia ustawi wa jamii wanawake na watoto Msham Abdalla khamis amesema
serikali kupitia wizra husika imetayarisha sera maalum kuanza kuwahudumia wazee
mjini na vijijini
No comments:
Post a Comment