MVUA KUBWA INAYOENDELEA KUNYESHA HIVI SASA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR NA VIUNGA VYAKE YAANZA KULETA MADHARA IKIWEMO KWA BAADHI YA NYUMBA KUANZA KUINGIA MAJI KA MAENEO YA KARAKANA,BUBUBU NA BAADHI YA BARABARA KUJAA MAJI KAMA YA MAGEREZA NA MIEMBENI NA MAENEO YA POSTA KIJANGWANI
ZAIDI TUTAWAJUZA
No comments:
Post a Comment