tangazo

tangazo

Monday, November 23, 2015

MSAADA WA DHARURA UNAHITAJIKA KATIKA MUYO WA KIZALENDO


ndugu mtanzania mwenzangu popote ulipo duniani tunaomba mssada wako kwa Mzee Mohamed Paschal mkazi wa fuoni mambo sasa Unguja ambaye amekimbiwa na familia yake na hapo hana msaada wowote tatizo lake lilianza kipele hadi kuwa donda anaishi na mwanawe ambaye naye kimaisha hayuko vyema mara baada ya tatizo hilo mke wake aliamua kurudi kwao, msaada wako unahitajika kwa ajili ya kuweza kupata gharama za matibabu ya mguu  unaomsumbua kwa muda wa miaka tisa sasa hali ambayo inapelekea kushindwa kufanya shughuli zake za kujipatia kipato kama umeguswa na swala hili waweza wasiliana nami kwa namba zangu za simu ya mkononi0774151617 au kupitia email yangu husseinhafidh@gmail.com

No comments:

Post a Comment