19/12/2015
JITIHADA ZA RAISI WA TANZANIA TUNAZIPONGEZA
ATALETA MAENDELEO MAKUBWA YA KUICHUMI KWA WA TANZANIA KWA
SABABU ANA MOYO WA DHATI KWA KUWALETEA MAENDELEO ENDELEVU YANO LENGO LA
KUONDOSHA KAYA MASIKINI NA KUTUFIKISHA KATIKA UCHUMI WA KATI TUNAPOFIKA 2025
KAMA YALIVO MALENGO MAKUU YA SEREKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KWA KAULI MBIU YAKE HII YA HAPA NI KAZI TU INAASHIRIA KUA MTU
NI KAZI LAKINI TAIFA LINALOFANYA KAZI KWA UFANISI HUPATA MAENDELEO MAKUBWA
NA HILI TUMELIONA KATIKA MATAIFA MINGI ULIMWENGUNI YAMEPATA
NA YANAENDELEA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA KWA KUCHAPA KAZI NA KUONEKANA KATIKA
MATAIFA HAYO KUA KAZI NI MSINGI MKUBWA WA MAENDELEO YA JAMII NA MAENDELEO YA
MTU KWA MTU NA KWA KULIONA HILO NASISI TANZANIA TUTAFIKIA MALENGO YETU YA
KIUCHUMI KAMA TUJALI KAZI NA TUTAFANYA KAZI KWA UFANISI TUTAKWAMUKA KIUCHUMI NA
KUFIKIA UCHUMI WAKATI NA KUONDOSHA KAYA MASIKINI IFIKAPO 2025 MALENGO MAKUU
HAYA YATAKUA KAMA TUTAONDOSHA UZEMBE UBADHILIFU WA MALI ZA SEREKALI SAMBAMBA NA
KUONDOSHA MUHALI RUSHWA NA KUA HAPA KAZI KWA MAFANIKIO.
NA KWA UPANDE WA BARAZA LA MAWAZIRI NALO NI ZURI NA LINALETA
MATUMAINI KWA HIVO HAPA NI KAZI.
TUNAMPONGEZA SANA DR MAGUFULI KWA AHADI ILIYO ISEMA IFIKAPO
TAREHE 1/1/2016 KUA ELIMU ITAKUA NI BURE YAANI BILA YA MALIPO NA KASISITIZA KUA
ITAKUA BURE TENA BURE KWELI KWA HILI NI FARAJA KWA WATANZANIA KWA SABABU HAKUNA
MTANZANIA ILIYOKUA HAUSIANI NA ELIMU KWA NJIA MOJA AU NYENGINE NA KWA HILO
IMEPUNGUZA MZIGO KWA WAZAZI NA HILI LA IFIKAPO MWAKA 2020 KUA ATAPUNGUZA AJIRA
KWA ASILIMIA 40 KWA KUTUMIA VIWANDA AMBAVYO NI VIWANDA MAMA AMBAVO VITATUMIA
KILIMO, UVUVI, MIFUGO SAMBAMBA NA
KUIMARISHA SERA YA VIWANDA UVUVI KILIMO MIFUGO MPAKA SASA IMEOKOA MABILIONI KWA
SAFARI ZA NJE NA UDOGO WA BARAZA LA
MAWAZIRI SAMBAMBA NA TAFRIJA MBALIMBALI LAKINI ZAIDI KATIKA BANDARI UPOTEVU WA
MAKONTENA KWA KUGUNDUA UFISADI MBALIMBALI KWA HIYO TUNAJUA TUTATATUA MALENGO
MAKUBWA YA KUPUNGUZA UMASIKINI NA KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025 KAMA
INAVOJULIKANA KATIKA MALENGO MAKUU YA SEREKALI ZETU NA HAPO TUTAKUA
TUNAJIKOMBOA NA WANANCHI KUONA FAIDA YA UHURU NA FAIDA YA KUA MTANZANIA WALEO.
KWA HIVO TUNAHITAJI UCHUMI WA KASI NA HATA KUFIKIA MALENGO
KAMA DR MAGUFULI ATAUSHIRIKISHA MUHIMILI
WANNE ULIOKUA HAUKO RASMI NAO NI MUHIMILI WA HABARI TASNIA HII INAWEZA
KUTUVUSHA NA KUSAIDIA SANA KATIKA KUONDOA UFISADI NA KUSUKUMA MAENDELEO KATIKA SEKTA ZA MAENDELEO
KAMA UVUVI KILIMO VIWANDA MIFUGO NA HATA KATIKA MIHIMILI MITATU YA SEREKALI
KAMA TUNAVOJUA HABARI NDIO MPANGO MZIMA WA MAENDELEO MIJINI NA VIJIJININA KWA
HIVO TANZANIA NI MIJI NA VIJIJINI BASI IPO HAJA SEREKALI KUUDHAMINI NA
KULITUNZA KWA KUONGEZA RUZUKU NA KUUPATIA RUZUKU YA SEREKALI ITOLEWA KWA VYOMBO
VYA HABARI VYA SEREKALI NA ITOLEWE KWA VYOMBO VYA HABARI VYA SEREKALI NA VYA
WATU BINAFSI ILI KUKUZA HABARI NCHINI KWAA MISINGI YA KUPATA MAENDELEO YA
HABARI KWA KUKUZA TAIFA ILI IFIKIE MABADILIKO YA HABARI NA MAENDELEO ENDELEVU
KWA HARAKA SANA KAMA TUNAVOJUA KUNA WAANDISHI WA HABARI WA VIWANDA UCHUMI
KILIMO MIFUGO UVUVI MISITU WANYAMA NA HIFADHI MBALIMBALI ZA KITAIFA KAMA UTALII
KWA VILE TUKIWATUMIA WAANDISHI VIZURI TUTAINUA MAENDELEO YA KWELI KAMA
TUNAVOJUA TANZANIA INA MIHIMILI MITATU MAHAKAMA, UTAWALA NA BUNGE NA MIHIMILI
HII YOTE ILI IFANYE KAZI VIZURI NI LAZIMA IPATE HABARI.
NATUKISEMA HABARI NI ZILE ZA UHAKIKA ZAKINA NA ZILIZOFANYIWA
KAZI VIZURI NA ZENYE MAADILI YA HABARI NA HABARI ZINAENDA NA VIFAA VYA KISASA
VINAVOENDANA NA WAKATI WA HABARI ULIMWENGUNI KWA HIVO KUWEZESHA NI JAMBO ZURI
KWA HIVYO KUNA NCHI NYINGI ULIMWENGUNI ZIMEPATA MAENDELEO MAKUBWA YA KISIASA NA
KIUCHUMI KWA KUTUMIA MUHIMILI HUU WA HABARI NCHI KAMA SEKENDNAVIA CANTURE
ZIMEPATA MAENDELEO YA KIUCHUMI MAKUBWA KWA KUPATA NGUVU MUHIMU HUU WA HABARI
LAKINI HATA UNGERZA MAREKANI ZIMEKUA NCHI ZENYE UTALUME WA KIUCHUMI DUNIANI KWA
KUWATUMIA WANAHABARI KWA KUKUZA UCHUMI KWA KUIBUA VITU MBALIMBALI KAMA RUSHWA,
WAHUJUMU UCHUMI WALETA MADAWA YA KULEVYA NA KUSUKUMA MAENDELEO NA KUSHAWASHI
MAENDELEO YA KASI KIUCHUMI NA NDO MAANA UKAAMBIWA HABARI NI MUHIMILI WANNE
ULIOKUA HAUKO RASMINI NA KWA SASA TANZANIA TULIVOKUA UCHUMI WATU NA KUPUNGUZA
KA YA UMASIKINI DR MAGUFULI LAZIMA UUWONE MUHIMILI HUU KWA NGUVU ZOTE ILI
TUFIKIE MALENGO KWA KUHAKIKISHA KILA IDARA YA SEREKALI NA SEKTA ZAKE ZOTE ZINA
TOA HABARI KWA KUA NA WATU WA HABARI NA HATA ZA WATU BINAFSI ZIWE NA MAOFISA WA
HABARI KWA MSINGI WA KUPATA HABARI NA KUIBUA MAENDELEO KWA MANA TANZANIA LAZIMA
IWE NA SERA YA HABARI INOENDANA NA WAKATI NA ULIMWENGU KWA HIVYO ULIMWENGU
UNATAKA HABARI NA UNAENDA KWA HABARI MBALIMBALI KWA HIVO TANZANIA IKO HAJA YA
KWENDA KIHABARI ILI KUPATA MAENDELEO ENDELEVU YANOENDANA NA WAKATI HABARI NDIO
MPANGO MZIMA KWA MAENDELEO YA DUNIA AFRICA NA TANZANIA KWA UJUMLA
AHSANTE
TUNAZIPONGEZA JITIHADA ZA RAISI WA AWAMU YA TANO DK JOHN
POMBE MAGUFULI KWA KUFUFUA MAENDELEO YAWATANZANIA
CHAMA CHA TADEA
RASHID YUSSUF MCHENGA
MWANASIASA
MKONGWE/MWANAHARAKATI
NA KATIBU MWENEZI TAIFA
TADEA
0733560243 % O715560243
No comments:
Post a Comment