tangazo

tangazo

Wednesday, December 2, 2015

WOMEN ACADEMY OF AFRICA (WAFA) YAMPONGEZA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MJINI MAGHARI MHE: ASHA ABDALLA JUMA.

 Balozi Amina Salum Ali akizungumza na wageni mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kumpongeza Mhe.  Asha Abdalla Juma kwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Mjini Magharib.
 Mhe.  Asha Abdalla Juma wakikumbatiana kwa furaha na Balozi Amina Salum Ali mara baada ya kuzungumza na wageni mbalimbali.
 ijana wa Skaunt  wakimvalisha shada la mauwa  Mhe. Asha Abdalla Juma kwenye  sherehe hiyo.
Mhe.  Asha Abdalla Juma akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya kumpongeza  kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mjini Magharib.

baadhi ya waliohudhuria katika sherehe ya kumpongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa mjini magharib ASHA ABDALLAH JUMA

No comments:

Post a Comment