tangazo

tangazo

Thursday, December 3, 2015

SIMBA YAENDELEA KUZIPIGA TIMU ZA ZANZIBAR

PITA MANYIKA AKIWA CHINA BAADA YA KUUMIA

Na: Abubakar Kisandu, Zanzibar.

SIMBA YAENDELEA KUZIPIGA TIMU ZA  ZANZIBAR

Timu ya Simba jana imefanikiwa kuitwanga timu ya Kimbunga mabao 5-2 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa saa10 za jioni kwenye uwanja wa Amaan.

 Mabao ya Simba yamefungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 14 na 50,Daniel Lyanga dakika 32, Mussa Hassan Mgosi dakika 38 na Hija Ugando dakika 67 na magoli ya Kimbunga yamefungwa na Faki Haji dakika ya 29 na Shomari Waziri dakika 87.

Simba watashuka tena dimbani siku ya jumapili kwa kucheza mchezo na timu ya Kombain ya Wilaya ya Mjini mchezo ambao utachezwa saa10 za jioni.

Timu ya Simba leo imefanikiwa kuitwanga timu ya Kimbunga mabao 5-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa saa10 za jioni kwenye uwanja wa Amaan.

 Mabao ya Simba yamefungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 14 na 50,Daniel Lyanga dakika 32, Mussa Hassan Mgosi dakika 38 na Hija Ugando dakika 67 na magoli ya Kimbunga yamefungwa na Faki Haji dakika ya 29 na Shomari Waziri dakika 87.

Simba watashuka tena dimbani siku ya jumapili kwa kucheza mchezo na timu ya Kombain ya Wilaya ya Mjini mchezo ambao utachezwa saa10 za jioni.

No comments:

Post a Comment