NEW YORK.
Maafisa katika Vatican makao makuu ya
kanisa katoliki, wanatarajariwa kuhojiwa na maafisa wa Umoja wa Mataifa kuhusu
dhulma za kingono ambazo makasisi wa kanisa hilo waliwaFANYIA maelfu ya watoto.
Maafisa hao walikataa ombi la awali ambapo Umoja wa
Mataifa ulikuwa unataka taarifa za kina kuhusu dhuluma za kingono wakisema kuwa
visa hivyo vinapaswa kushughulikiwa na idara ya mahakama katika mataifa ambako
visa hivyo vilitokea.
NCHINI UJERUMANI Kasisi
akama Andreas L, aMEkiri mwaka 2012 kuwa aliwalawiti, watoto watatu wa
kiume.
Marekani NAKO ufichuzi
kuhusu makasisi wawili Paul Shanley na John Geoghan waliowalawiti watoto mapema
miaka ya tisini ,iliwaghadhabisha watu wengi sana.
No comments:
Post a Comment