Waumini
Wa Dini Yakiislam Kote Nchini Wametakiwa Kuwa Tayari Kujitolea Kwa Hali Na Mali
Kwaajili Ya Dini Yao.
Wito Huo
Umetolewa Na Al-Ustadh Saleh Ali Wakati Akizungumza Na Waislam Katika Muhadhara
Mkubwa Ulioandaliwa Na Jumuiya Na Taasisi Zakiislam Zanzibar Katika Msikiti Wa Mkwajuni Kidombo Wilaya Ya
Kaskazini A Unguja.
Aidha
Muhadhiri Huyo Ameelezea Kuskitishwa Kwake Na Jinsi Waislam Wanavyonyanyaswa
Nakudhalilishwa Katika Sehemu Mbali Mbali Duniani.
Ameelezea
Haja Kwa Waislam Kufanya Maandalizi Yakutosha Ili Kukabiliana Ipasavyo Na
Maadui Wa Dini Yao.
Muhadhara
Huo Uliondaliwa Na Jumuiya Na Taasisi Zakiislam Zanzibar Umehudhuriwa Na Mamia
Ya Waislam Kutoka Mkoa Wa Kaskazini Unguja Na Maeneo Jirani.
No comments:
Post a Comment