WAUMINI WA DINI
YAKIISLAM KOTE NCHINI WAMEHIMIZWA KUJENGA UMOJA KWA KUSAIDIANA,KUPENDANA
NAKUHURUMIANA.
WITO HUO UMETOLEWA NA SAMAHATU SHEIKHKHALID BIN MUHAMMED AL-ABDELY KUTOKA OMAN WAKATI
AKIZUNGUMZA NA RADIO ADHANA FM KATIKA KIPINDI MAALUM CHA MAWAIDHA YA DINI
YAKIISLAM.
AMESEMA KUWA IWAPO WAISLAM WATAIFUATA IPASAVYO QUR-AN NA
SUNNA ZA MTUME MUHAMMED S.A.W
WANAFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA DUNIA NA KESHO SIKU YA MALIPO.
HATA HIVYO ALIM HUYO AMEZITAJA FAIDA ZAKUSOMA QUR-AN KUWA
NIKUPATA UTULIVU,REHMA,KUFUNIKWA MBAWA NA MALAIKA NAKURIDHIWA NA M/MUNGU (S.W).
No comments:
Post a Comment