WOSHINTON.
MUHADHIRI MAARUFU wa kiislamu NCHINI MAREKANI SAMAHATU SHEIKH Abu Hamza amehukumiwa
kifungo cha maisha gerezani katika mahakama moja mjini New York kwa MADAI
YAKUFANYA makosa ya ugaidi.
ALIM huyo alifukuzwa nchini Uingereza mwaka 2012
kufuatia kesi ya muda mrefu na alipatikana na hatia miezi minne iliyopita.
SHEIKH ABU HAMZA Alipatikana
na hatia katika mashtaka kadhaa ikiwemo njama ya kuwateka nyara watu kutoka
nchi za magharibi ikiwemo Yemen mwaka 1998 na majaribio ya kuanzisha kituo cha
mafunzo ya ugaidi kATIKA jimbo la Oregon nchini Marekani.
Jaji ALIYETOA HUKUMU
YA KESI INAYOMKABILI MWANA WA CHUONI HUYO alisema kuwa Abu Hamza alikuwa
amewachochea watu wengine kuwaua wale wasio waislamu kama jukumu la kidini na
kusema kuwa alikuwa hatari kwa jamii.
No comments:
Post a Comment