WILAYA
YA KATI.
WAUMINI
WA DINI YAKIISLAM KOTE NCHINI WAMETAKIWA KUMUABUDU MOLA WAO IPASAVYO.
WITO HUO
UMETOLEWA NA SAMAHATU SHEIKH HUSSEIN HASSAN NYUNDO WAKATI AKIZUNGUMZA NA
WAISLAM KATIKA VIWANJA VYA DUNGA KIEMBENI.
AIDHA
ALIM HUYO AMEKUMBUSHA KUWA LENGO LAKUUMBWA MWANAADAMU NIKUMUABUDU MOLA WAKE KWA
KUFUATA MAARISHO YA QUR-AN NA SUNNA ZA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
HATA
HIVYO MUHADHIRI HUYO AMEWASIHI WAISLAM KUACHA TABIA YAKUABUDU MIZIMU NA YOYOTE
ALIYEKUWA M/MUNGU (S.W).
MAPEMA SHEIKH NYUNDO AMEISISITIZA JAMII YA KIISLAM KUACHA
TABIA YAKUPENDA USHIRIKINA JAMBO AMBALO NI MIONGONI MWA MAMBO SABA YENYE
KUANGAMIZA.
No comments:
Post a Comment