DAR-ES-SALAAM.
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) na Kampuni ya MS Huawei
Technologies ya China wameingia mkataba utakaolenga k kujenga, kuTanua na
kuIMARISHA mtandao wa TTCL wa simu za mezani, mkononi pamoja na Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano (TEHAMA) .
miradi hiyo itagharimu zaidi ya dola za kimarekani
Milioni 182.
Awamu ya kwanza ya mradi huO inategemea kukamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu.
Miradi HIYO ambayo iko kATIKA mkataba itahusisha ujenzi wa mtandao wa teknolojia ya kisasa ya 4G Long Term Evolution (LTE), 3G - UMTS pamoja na 2G- GSM, AMBAZO zitasaidia Kampuni kuTanua naKUIMRISHA huduma zake nchi nzima na katika ubora wa hali ya juu.

Teknolojia hizO zitatoa huduma bora ya sauti na intaneti
(data) yenye kasi zaidi.
Mkataba huO pia unahusisha ununuzi wa mitambo kwa ajili ya kupeleka mawasiliano vijijini chini ya mpango wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote .
TTCL imeshinda zabuni ya kupeleka mawasiliano katika kata 69 zinazojumuisha vijiji zaidi ya 400 vyenye wakaazi zaidi ya laki tano.
Chini ya mradi huo UCSAF itaipatia TTCL Dola za
Marekani milioni kumi kujenga miundo mbinu ya mawasiliano katika Kata hizo.Mkataba huO pia unahusisha ununuzi wa mitambo kwa ajili ya kupeleka mawasiliano vijijini chini ya mpango wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote .
TTCL imeshinda zabuni ya kupeleka mawasiliano katika kata 69 zinazojumuisha vijiji zaidi ya 400 vyenye wakaazi zaidi ya laki tano.
Mkataba wa TTCL na Huawei ni moja ya juhudi zinazofanywa na Kampuni HIYO katika kutekeleza mikakati endelevu ili kuboresha na kuTanua upatikanaji wa huduma nafuu za mawasiliano ya simu na intaneti nchi nzima.
No comments:
Post a Comment