ZANZIBAR.
MAKAMO MWENYEKITI WA CUF TAIFA JUMA DUNI HAJJI AMEWATAKA VIONGOZI WA
KISIASA NCHINI KUENDESHA SIASA ZAKISTARABU ILI PANDE ZOTE ZIBUFAIKE NA MATUNDA
YA MAPINDUZI.
KIONGOZI HUYO AMEYASEMA HAYO ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA
HADHARA ULIOFANYIKA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA CHA MAGOMENI JITINI.
AMESEMA KUWA MFUMO WA VYAMA VYA VINGI NDIO DHANA PEKEE YAKIDEMOKRASIA
HIVYO VIONGOZI WANAENDELEA AMBAZO AMEDAI HAZITOSAIDIA KUZUIA MABADILIKO.
akizungumzia suala la vitambulisho vya mzanzibari mkaazi makamo
mwenyekiti huyo wa cuf amesema kuwa vitambulisho hivyo ni haki kwa kila
mzanzibari,hivyo kutekea baadhi ya watu kuwekewa pingamizi zisizo na msingi ni
kwenda kinyume na katiba ya zanzibar.
akitoa nasaha zake kwa wanachama wa cuf
kiongozi huyo amewataka wazanzibari kuisoma katiba inayopendelezwa ili
kuifahamu na kuichambua ili waweze kutoa maamuzi yanayofaa wakati wa kura ya
maoni.
No comments:
Post a Comment