ALGERS.
MSIKITI MAKUBWA
KABISA BARANI AFRIKA UNAJENGWA KATIKA PWANI YA KASKAZINI MWA ALGERIA.
KWA MUJIBU WA WATAALAM WA MAJENGO MSIKITI HUO UTAKUWA WA TATU KWA UKUBWA WA
ENEO DUNIANI.
RAIS ABDELAZIZ BOUTEFLIKA ALITAKA MSIKITI HUO
KUWA NA MNARA WA UISLAM NA KWA MASHUJAA WA MAPINDUZI YA ALGERIA" - VITA
VYA KUPIGANIA UHURU KUTOKA UFARANSA.
WIZARA YA NYUMBA NA MIPANGO MIJI NCHINI
ALGERIA HIVI KARIBUNI ILICHUKUA JUKUMU LA KUSIMAMIA UJENZI WA MSIKITI HUO KUTOKA
WIZARA YA MASUALA YA DINI.
BAADHI YA WAKOSOAJI WANAUONA MSIKITI HUO KUWA
UNA ISHARA YA MAELEWANO BAADA YA MGOGORO NA WANASIASA WAISLAM.
No comments:
Post a Comment