JAMII YAASWA KUWASAIDIA VIJANA JUU YA MADAWA YA KULEVYA
JAMII NCHINI
IMETAKIWA KUJENGA UMOJA NA MASHIRIKIANO KWA LENGO LA KUTIMIZA WAJIBU KATIKA
KUPAMBANA NA MADAWA YAKULEVYA ILI KUJENGA TAIFA JEMA KWA MASLAHI YA NCHI.
AKIZUNGUMZA NA NA ADHANA FM MWENYE KITI WA RECOVER
RECOMMUNITY SLEMANI MOHD MAULID AMESEMA
KUWA ILI VIJANA KUWACHA MADAWA YA KULEVYA NI LAZIMA
JAMII KUSHIRIKIANA KATIKA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA.
AMEELEZA KUWA WAO KAMA SOBER HOUSE WAMEKUWA WAKIWASAIDIAVIJANA KWA
JUHUDI KUBWA LAKINI KUMEKUWA NA WATU AMBAO WASIOKUWA NA UCHUNGU WA VIJANA
NA TAIFA KWA UJUMLA HUWAHARIBU VIJANA NA KUDUMAZA HUDUMA ZA MAENDELEO KATIKA
NCHI.
AMESEMA KUWA
HIVI SASA UHALIFU UMEZIDI KUTOKANA NA VIJANA WENGI KUINGIA KWENYE BADAWA
YA KULEVYA NA KUSABABISHA UHALIFU KWA JAMII HIVYO INATAKIWA
KUPANGA MIKAKTI KATIKA VIWANJA VYA NDEGE ,BANDARI NA NJIA NYENGINE ILI
KUPUNGUZA UINGIZWAJI WA MADAWA HAYO.
No comments:
Post a Comment