SHIMO LA KIZA
SEHEMU YA PILI
STORI YA KWELI
je? una uhakika wa kufika kesho ingia kwenye ndoa allah ndio mjuzi zaidi nakupa muda wa miezi mitatu unifahamishe wapi nikakuposee tukaishiana hapo nikaelekea nyumbani kupumzika.
endelea niliondoka kuelekea kupumzika huku nikiwa na mawazo tele nani atakuwa mke wangu mlezi wa wanangu chaguo la moyo wangu kwa vili nilikuwa na misingi imara ya dini yangu sikuwahi kuwa na wanawake wala wa kumuahidi kama nitamuowa kwa hivyo iliniwiya vigumu kujua nani nitaowa nikamfata mama yangu anitafutie mchumba akanambia tafuta mwenyewe kwanza ukishindwa nambie bint wa kwanza jicho langu kumuona ni bint mmoja wa kipemba kwa jina ni bikombo aliyekuwa anasomea udakitari alikuwa amehifadhi juzuu ishirini kichwa mwake kutoka na mchafuko wa mabinti wengi katika zama hizi kwanza ilinibidi nimkabili mwenyewe kabla ya kuenda kwao akanikataa kwa ushauri wa mashoga zake na kumwambia kwa yule vikanzu ALLAH ATALETA UTASUMBUKA SHOGA tafuta mwengine,wa pili ni binty mmoja aliyeitwa AZIZA MUSSA huyu naye ilikuwa kwa uchaguzi wa dada yangu yeye alijibu siwataki maustadhi siwezi kuvaa mashungi mpaka vidoleni nikacheka mara baada ya kupewa habari ile na dada yangu nikasema kumbe tatizo uislam wangu sio shida iam still a muslim na wengine kazaa wengine wakisema sitaki kuolewa mpaka niwe na kazi yangu sababu hii ndio kubwa sasa kwa mabinti wa kiislam huku wakisahau kuwa jukumu la kutunza familia ni la mume ambapo mwaka alfu mbili na kumi na moja nikiwa jkt nikamuona binty ambaye sote tulikosa nafasi na kurudi nyumbani wengi wakiwa na manjonzi kwa kukosa nafasi ya kwenda jeshi la kujenga taifa kwa vile imani yangu ilikuwa madhubuti sikuwa na majonzi hata chembe na ukizingatia nilikwenda huko nikiwa na taaluma yangu ya uandishi wa habari binty huyo aliitwa KHADIJA BINTY ALLY SUDI KWA UTULIVU WAKE KATIKA HALI AMBAYO KULE KATIKA MAKAMBI YA KIJESHI MABINTY WENGI HUWA MCHARUKO NIKAVUTIWA NAYE NA MARA BAADA YA MIEZI KADHAA YA KURUDI NA WAZO LA KUTAKA KUOWA nikampigia simu na kumwambia unampango gani kwa sasa katika maisha yako mara baada ya kukosa jkt akanambia sina ishu yeyote nasubiri mume nikwambia mimi nataka kuowa je?uko tayari kuolewa na mm kama kawaida ya mabinty walio wengi akanambia nipe muda nijifikirie vijana wanasema (alitia rangi kidogo) siku chache baadae alinikubalia nikafanya uchunguzi kidogo kuhusu tabia yake nikaridhika lakini kosa kubwa nililofanya sikufata vigezo alivyovitaja mtume MUHAMMAD (S.A.W) ambavyo ni nasabu,uzuri,mali na dini yake lakini hasa dini yake ikoje.
nikarudi kwa baba yangu mlezi nikiwa na matumaini kwamba nimepata mchumba wa kuowa wakafanya taratibu muhimu wakaenda kuposa mahari yakatajwa kama walivyokubaliana kidume nikajipinda japo mshahara mdogo baada ya miezi nane ya kuufuga mshahara wangu zikatimia maana sikuambiwa nipeleke vitu kama walivyo wazanzibar na waislam wa zama hizi kutaka gharma kubwa kwa kutaja fanicha mm niliambiwa nipeleke kiasi cha pesa na harusi ikapangwa nakumbuka ilipangwa tarehe sita mwezi wa tisa mwaka 2013 saa kumi jioni......................................................................................
nini kiliendelea ungana nami katika sehemu ya tatu ya hadithi hii ya shimo la kiza stori ya kweli iliyomkuta kijana hafidh hussein mwinyi.
uislam ndio liwazo langu hakuna wa kuniliwaza kwa hili wewe uliyepo sasa unanafasi ya kunifuta machozi sio.

No comments:
Post a Comment