tangazo

tangazo

Saturday, February 21, 2015

WAZAZI NA WALEZI NCHINI WAMESHAURIWA KUTOWAFICHA WATOTO WAO WAKATI WA KUWAPA TAALUMA YA MAISHA YAO



WILAYA YA MAGHARIBI.
WAZAZI NA WALEZI NCHINI  WAMESHAURIWA KUTOWAFICHA WATOTO WAO WAKATI WA KUWAPA TAALUMA YA MAISHA YAO ILI WAWEZE KUJIFUNZA IPASAVYO.

WITO  HUO UMETOLEWA NA KATIBU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA BI ZAINAB KHAMIS SHOMARI KATIKA MAADHIMISHO YA MAULID YA MTUME MUHAMMAD S.A.W  NA MIAKA 20 YA MADRASAT TANBIHIL KHAFILINA HUKO MBWENI WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA.

HATA HIVYO BI ZAINAB AMEBAINISHA KUWA MALEZI YANAANZIA MTOTO AKIWA MDOGO MALEZI NAKUENDELEA HADI ANAPOJITEGEMEA KIMAISHA.

MAPEMA UKHTI ZAINABU AMEWASISITIZA WANAWAKE KUWA MSTARI  WA MBELE KATIKA KUTAFUTA ELIMU NA TAALUMA MBALI MBALI



No comments:

Post a Comment